.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 12 Mei 2015

MKURUGENZI WA UTAWALA WA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA UBELIGIJI


Mkurugenzi wa Utawala wa Utumishi wa Umma Mhe. Nyakimura Muhoji (wa tatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji baada ya kumaliza kikao nao Brussels Ubeligiji. Wa pili kutoka kushoto Ni Bwana Festo Kipate Afisa Mhandamizi kutoka Wizara ya Fedha na wa tatu kutoka kushoto ni Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala, Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni