Mwanamke mmoja nchini New Zealand
aliyepotea msituni mashariki mwa Wellington, amesema aliweza kuishi
kwa kunywa maziwa yake mwenyewe na kujifunika uchafu kujikinga na
baridi.
Mwanamke huyo Susan O'Brien,
alikosea njia wakati wa mbio za Xterra akiwa kwenye msitu wa Rimutaka
na jitihada za kumtafuta zilianza jumapili asubuhi na kupatikana siku
ya leo.
Baada ya kupatikana mwanamke huyo
aliunganishwa na familia yake mara moja na kitu cha kwanza
alichofanya ni kuanza kunyonyesha mtoto wake wa kike wa miezi nane.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni