.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 11 Mei 2015

MLIPUKO WA KIPINDUPINDU WAUWA WATU 52 NCHINI KENYA

Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kuchukua maisha ya watu nchini Kenya ambapo takwimu zinaonyesha vifo vya ugonjwa huo vimeongezeka na kufikia watu 52, huku mlipuko wake ukizidi kusambaa.

Ugonjwa huo unaotokana na uchafu umesambaa nchini Kenya katika kaunti 10, huku kukiwa na watu wapatao 2,000 waliougua tangu kutokea mlipuko wake mwezi Desemba.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni