Tume ya Ulaya itaanda mapendekezo
tata kwa mataifa ya Umoja wa Ulaya, kuwa zinamapaswa kuwachukua
wakimbizi kwa idadi maalum.
Umoja wa Mataifa unakadiria watu
elfu 60 wameshajaribu kukatiza bahari ya Mediterranean kutafuta
maisha Ulaya kwa mwaka huu.
Kwa mujibu wa shirika la Amnesty
International wahamiaji haramu hufanya safari yenye mateso kupitia
nchi ya Libya.
Zaidi ya wahamiaji 1,800 wamekufa
katika mwaka huu katika bahari ya Mediterranean, ikiwa ni ongezeko
kubwa ikilinganishwa na mwaka 2014.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni