Waziri Mkuu wa Uingereza David
Cameron amekamilisha zoezi la kubadilisha baraza lake la mawaziri
huku mawaziri wanawake wakipatiwa nafasi za juu.
Katika uteuzi huo Amber Rudd anakuwa
Waziri wa Nishati na Mabadiliko ya Tabia nchi na Priti Patel atakuwa
anahudhuria vikao vya Wizara ya Ajira.
Naye Boris Johnson hatakuwa waziri
lakini atakuwa anahudhuria vikao tofauti vya siasa vya baraza la
mawaziri la Uingereza.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni