.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatatu, 11 Mei 2015
MAHAKAMA NCHINI MISRI YASIKILIZA KESI YA POLISI ALIYEUWA MWANAMKE
Mahakama nchini Misri imeanza kusikiliza kesi ya polisi anayetuhumiwa kumuua mwanamke mwanaharakati asiye na silaha.
Luteni Yassin Hatem Salahedeen, anakabiliwa na kesi ya mauaji kufuatia kifo cha mwanamke huyo Shaimaa al-Sabbagh.
Mwanamke huyo alikufa baada ya kupigwa risasi na polisi aliyefunika uso wake katika maandamano ya amani Jijini Cairo mwezi Januari.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni