Mwanasiasa mashuhuri wa Venezuela
aliyefungwa Leopoldo Lopez, ametangaza kuwa ameanza mgomo wa kutokula
kudai kuachiwa huru wafungwa wa kisiasa.
Katika picha ya video iliyovuja
kutoka gerezani, Bw. Lopez ametoa wito wa kutaka kusitishwa
kufuatiliwa wapinzania na kuitaka itaje tarehe ya uchaguzi.
Aidha, ametoa wito kwa wananchi wa
Venezuela kushiriki maandamano ya amani jumamosi ijayo kwa ajili ya
amani na Demokrasia.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni