Waandishi wakiwa katika ukumbi wa mkutano Makao Makuu ya Polisi Kilimani Zanzibar.
Mwandishi akipata fursa ya kuuliza swali wakati wa mkutano huo.
Mwandishi mkongwe wa ITV, Farouk Karim, akiuliza swali wakati wa mkutano huo wa kutoa taarifa ya kukamatwa kwa Vijana wanaojihusisha na kutoa lugha za Vitisho kwa Viongozi wa Seriali na wa Vyombo vya Dola Zanzibar
Waandishi walipata fursa kuuliza maswali mbali mbali kutokana na Tuhuma hizo.
Jumapili, 24 Mei 2015
NAIBU MKURUGENZI WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar Naibu Kamishna Salum Msangi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na kujitokeza kwa Baadhi ya Watu kutumia Vibaya Mitandao ya Simu kwa kutisha Viongozi wa Serikali na Watendaji wa Vyombo vya Dola Zanzibar, katika hali hiyo jeshi la Polisi tayari linawashirikila vijana wawili kwa tuhuma za kutumia mitandao kwa kutowa vitisho kwa Viongozi.
Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar Naibu Kamishna Salum Msangi, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika Makao Makuu ya Polisi Kilimani Zanzibar.
Waandishi wakifuatilia taarifa inayotolewa na Naimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar Salum Msangi.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni