Nchi ya Malaysia inachunguza polisi
12 wanaotuhumiwa kujihusisha na usafirishaji binadamu katika kambi
zilizobainika katika maeneo ya kando kaskazini mwa nchi hiyo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Wan
Junaidi Tuanku Jaafar amesema wanne kati yao wamekamatwa katika
uchunguzi unaofanywa na polisi wa Malaysia tangu mwaka jana .
Mamlaka zimesema makaburi 139,
yamekutwa katika mpaka wa Malaysia na Thailand.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni