Polisi wamewakamata watu watatu
baada ya ghasia kuibuka katika mchezo timu ya Manchester United ya
wachezaji waliochini ya umri wa miaka 21 na wapinzania wao wakuu
Manchester City katika dimba la Old Trafford jana usiku.
Mtu mzia mmoja na kijana walikamatwa
kwa kushambuliana ambapo pia kijana mwingine alikamatwa kwa kuvaimia
dimba, polisi wa Greater Manchester.
Polisi waliitwa na Manchester
United, na sasa watachunguza tukio hilo na wameomba kupatiwa picha
zilizorekodiwa kwa kutumia CCTV. Katika mchezo huo Man Utd ilishinda
4-0.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni