.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 13 Mei 2015

WAZIRI WA ULINZI WA KOREA KASKAZINI HYON YONG-CHOL AMEUWAWA

Waziri wa Ulinzi wa Korea Kaskazini Hyon Yong-chol ameuwawa kwa kuonyesha kutokuwa mtiifu kwa kiongozi wa taifa hilo Kim Jong-il, shirika la ujasusi la Korea Kusini limeliambia bunge.

Wabunge wa Korea Kusini wameambiwa Bw. Hyon aliuwawa Aprili 30, na kikosi cha mashambulizi ya anga mbele ya mamia ya watu, shirika la habari la Yonhap limeripoti.

Tarifa hiyo imesema Bw. Hyon alipitiwa na usingizi katika tukio alilokuwepo Kim Jong-un na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kwa kawaida taarifa za Korea Kaskazini si rahisi kuthibitishwa kwa uhuru.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni