Mvua kubwa iliyonyesha jana jioni
Jijini Nairobi nchini Kenya ilipelekea kusababisha foleni kubwa za
magari kutokana na barabara nyingi za Jiji hilo kufurika maji.
Hali hiyo ilipelekea wananchi wa
Kenya, kuingia katika mitandao ya jamii kulalamikia hali mbaya ya
mifumo ya maji taka, iliyopelekea mafuriko katika barabara baada ya
mvua kunyesha kwa muda wa saa mbili.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni