.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 20 Mei 2015

PPRA YAKABIDHI UTUMISHI TUZO YA UTENDAJI ULIOTUKUKA KATIKA ENEO LA UNUNUZI WA UMMA

Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.Samson Akyoo (wa tatu kutoka kulia) akionyesha tuzo ya utendaji uliotukuka katika eneo la ununuzi wa umma kwa watumishi wa ofisi yake.Tuzo hiyo alikabidhiwa na PPRA katika Maadhimisho ya miaka 10 ya PPRA yaliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee jana.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) (kushoto) akikabidhi tuzo ya utendaji uliotukuka katika eneo la ununuzi wa umma kwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.Samson Akyoo (kulia) katika Maadhimisho ya miaka 10 ya PPRA yaliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee jana.Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA Balozi Martin Lumbanga (wa pili kutoka kushoto) na Mtendaji Mkuu Mstaafu wa PPRA Dkt. Ramadhani Mlinga (wa pili kutoka kulia).

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni