Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza nakisha kupiga picha ya pamoja na madaktari wa Shirika lisilo la kiserikali la Al Muntada lenye makao yake makuu jijini London Uingereza wanaoendesha zoezi la upasuaji na tiba ya moyo kwa zaidi ya watoto 70 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam leo.(Picha na Freddy Maro) 


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni