.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 15 Mei 2015

RAIS KIKWETE ATEMBELEA TEGETA NA MKWAJUNI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO

kw1
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete maeno yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko huko Tegeta wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.
kw2
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maagizo kwa uongozi wa wilaya ya Kinondoni kuyaondoa kwa haraka maji yaliyozunguka makazi ya watu eneo la Tegeta wilayani Kinondoni kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.
kw3
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda pamoja na Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda akiwaagiza kutafuta mbinu za kuyaondoa kwa haraka maji yaliyozingira makazi ya watu eneo la Tegeta
kw6
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda pamoja na Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda akiwaagiza kutafuta mbinu za kuyaondoa kwa haraka maji yaliyozingira makazi ya watu eneo la Tegeta
kw7
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia makazi holela yaliyojengwa katika bonde la mkwajuni eneo la mto Msimbazi na kisha kuongea na wakazi wa eneo hilo akiwashauri kuhama kwakuwa eneo hilo si salama kwa maisha na mali zao ( Picha na Freddy Maro)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni