Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza
amepigwa picha akicheza soka, wakati maandamano ya kumpinga juu ya
uamuzi wake wa kugombea urais katika muhula wa tatu yakiendelea.
Rais Nkurunziza alikuwa anacheza
soka na rafiki zake wa karibu ikiwa ni sehemu ya mazoezi yake ya kila
siku Jijini Bujumbura.
Rais Nkurunziza akijipinda kupiga shuti mpira
Hapa akituliza mpira gambani
Rais Nkurunziza akionyesha uwezo wa kumiliki mpira
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni