.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 2 Mei 2015

RIO FERDINAND AFIWA NA MKEWE

Beki wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na aliyewahi kuwa nahodha wa timu ya soka ya Manchester United, Rio Ferdinand amefiwa na mkewe Rebecca ( 34 )  baada ya kuugua saratani ya titi kwa muda mfupi. 

Katika taarifa yake, Ferdinand ambaye kwasasa anichezea timu ya soka ya QPR amesema kuwa, mkewe kipenzi alifariki dunia ijumaa usiku akiwa hospitali ya Royal Marsden mjini London alikokuwa akipatiwa matibabu. 

Wawili hao walifunga ndoa mwaka 2009 na kufanikiwa watoto watatu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni