.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 2 Mei 2015

SHEREHE ZA MEIMOSI ZILIYOFANA MKOANI KILIMANJARO


Wafanyakazi waShirika la Umeme(TANESCO) mkoa wa Kilimanjaro wakipita na gari lao mbele ya mgeni rasmi katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu chaUshirika mjini Moshi.

Shirika laMawasiliano Tanzania TTCLwakipita katikamaonesho ya Mei Mosi


Chuo cha wauguziKibosho pia walipita mbele ya mgeni rasmi kuonesha nini wanafanya katika sherehe hizo za Meio Mosi.

Mtafiti kutoka kituocha utafiti wa zao la Kahawa ncini cha TACri ,Jeremiah Magesa akitoa maelezo mbele ya mgeni rasmi namna ambayo kituo hicho kinavyo saidia katika upatikanaji wa mbegu bora ya zao la Kahawa.

Moja ya mtamboinayotumika kunyunyiza dawa katika Kahawa ikioneshwa mbele ya mgeni rasmi. Na Dixon Busagaga waGlobu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.



Kampuni ya Swissportpia walikuwepo kuonesha kazi wanayofanya katika viwanja vya ndege.

Kassim Mwinyi akitoamaelezo kuhusu kampuni ya Panone inavyosaidia katika utoaji wa huduma  ya mafuta.


Mwakilishi wakampuni ya Bia Tanzania ,Pudensiana akitoa maelezo kuhusu kampuni hiyo.

                                    Magari ya kampuni yaTBL yakipita mbele ya mgeni rasmi.


                                           Baaadhi ya wawafanyakazi wakifuatilia maonesho hayo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni