Maelfu ya shule zilizoharibika kwa
tetemeko kubwa la ardhi la mwezi Aprili nchini Nepal, zimeanza
kufunguliwa.
Zaidi ya madarasa 25,000 katika
shule 8,000 yaliharibika wakati tetemeko lenye ukubwa wa kipimo cha
rikta 7.8, kutokea na kuua zaidi ya watu 8,000.
Madarasa mengi yamejengwa kwa muda
kwa kutumia vifaa vya kawaida kama miti ya bamboo, mbao pamoja na
kuezekwa kwa kutumia mifuko migumu ya ya nailoni.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni