.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 29 Mei 2015

SKYLIGHT BAND NDIO HABARI YA MUJINI KWA SASA, KARIBUNI KIWANJA KIPYA CHA LUKAS PUB TUSEBENEKE LEO

 Skylight Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya kiota cha Lukas Pub Masaki jijini Dar kwa kuburudika na band hii
 Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka kwenye stageni na moja ya nyimbo zao
kwaraha zao huku wakiwa wanafuatisha styl za bendi yao pendwa mashabiki walionekana na nyuso za furaha katika mstari mmoja tayari kwa kuyarudi
 Mashabiki wa Skylight Band wakijiachia kwa raha zao ndani ya kiota cha Lukas pub
       KUNAKO Nigeria Flavour….. Sam Mapenzi akitoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake waliokuwa wakimpa support ya nguvu kwenye ngoma za Nigeria ambao ni Joniko Flower (wa kwanza kushoto), Ashura Kitenge(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sony Masamba.
Joniko Flower naye katika muziki wa live hashikiki kwa sauti,viuno mpaka pumzi ni hatareeeee
Watu navipaji vyao sasa team sky light band ikiongozwa na Ashura Kitenge katika miondoko ya zouk huku akisindikizwa na waimbaji wenzake katikaka,Sony Masamba pamoja na AK 47 meneja wa sky light band
 sakata lumba na sky light band hapana chezea hatareee ukigusa lazima unase
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba mmoja ya nyimbo yenye hisia kali sambamba na msanii mwenzake Sam Mapenzi
Sugua sugua mpaka utakate ni nomaaaama saaanaa karibu leo kuna mambo mazuri ndani ya Skylight Band
Skylight Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya kiota cha Lukas pub Masaki jijini Dar kwa kuburudika na band hii
Aneth Kushaba AK 47 akiimba kwa hisia kubwa mbele ya mashabiki wake huku akiwa na wasanii wenzake upande wa kushoto ni Sony Masamba na upande wa kulia ni sam mapenzikatika kiota cha Lukas, Masaki jijini Dar
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akishusha mistari na kucheza huku waimbaji wenzake Sony Masamba (wa pili kutoka kushoto), Aneth Kushaba(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sam Mapenzi wakisebenekaIjumaa iliyopita ndani ya kiota cha Lukas Pub jijini Dar.Waimbaji wa Skylight Band wakizirudi sebene zilizokuwa zikiimbwa na Joniko Flower
  Sam Mapenzi pamoja(Kushoto) na Ashura Kitenge wakiimba kwafuraha huku wakiwakonga nyoyo mashabiki wa Skylight Band
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live na mwimbaji mwenzake Sony Masamba wakiwa wanaendelea kutoa burudani murwa kwa mashabiki wao
Ilikuwa noma sana jumamosi hii maana ilikuwa ni kubeneka mpaka kunakucha
katika ubora wake Sony Masamba akiwa anaonyesha namna ya kucheza styl mpya na Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower
 Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akiimba kwenye stage huku akisindikizwa na waimbaji wenzake ambao ni Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 wa kwanza kulia pamoja na Sony Masamba
Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba sambamba na msanii mwenzake Ashura Kitenge
 baada ya kuonekana kukunwa na burudani inayotolewa na band ya sky light mashabiki wakaanza kulisakata
 wajanja wote tunakutana skylight band kila weekend kutupa shida chini na kuweka mikono juu huku viuno tukiwa hatuvisahahu kuvino sasa 
Mmoja wa mashabiki wa Bendi ya Skylight akichukua kumbukumbu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni