.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 12 Mei 2015

TETEMEKO KUBWA LA ARDHI LAIKUMBA NCHI YA NEPAL, KARIBU NA MLIMA EVEREST

Tetemeko kubwa la ardhi limeikumba nchi ya Nepal, karibu na Mlima Everest, ikiwa ni wiki mbili tu kupita tangu watu zaidi ya 8,000 kufa kutokana na tetemeko la ardhi.

Watu wapatao wanne wamekufa na idadi ya watu wasiojulikana wamejeruhiwa kwa mujibu wa mashirika ya misaada.

Tetemeko hilo la hivi karibuni limetokea katika mji wa Namche, ambapo Idara ya Utafiti ya Jiolojia ya Marekani imesema tetemeko hilo lilikuwa na ukubwa wa kipimo cha 7.3.
                           Wananchi wakiwa na nyuso za hofu baada ya tetemeko


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni