Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano na Viongozi wa vyama vya siasa ambapo alizungumzia zoezi la kugawa Majimbo ya Uchaguzi.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu Julius Malaba akifafanua njia zitakazotumika katika kugawa majimbo ya uchaguzi kwenye mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi akifafanua jambo wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
Profesa Ibrahimu Lipumba akichangia mada wakati wa mkutano wa Tume ya Uchaguzi na vyama vya siasa.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye
Viongozi wa Tume ya Uchaguzi wakichukua maoni ya wachangiaji hoja katika mkutano huo na viongozi wa vyama vya siasa.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa mkutano wa Tume ya uchaguzi na vyama vya siasa
(Picha zote na Adam Mzee)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni