.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumanne, 12 Mei 2015
KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASA WAFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO
Baadhi ya vijana ambao ni marafiki wa Lowasa wakiwa katika safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
Kundi la marafiki wa Lowasa kutoka kanda ya Kaskazini wakiwa katika kituo cha Kibo ,wakiwa katika maandalizi ya kuanza kwenda kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Sehemu ya juu ya mlima Kilimanjaro ikiwa imefunikwa kwa theruji.
Kundi la Marafiki wa Lowasa wakiwa katika kituo cha Stella,kikiwa ni kituo cha mwisho kuelkea kilele cha Uhuru.
Mandhari mbalimbali zinayoonekana wakati wa kuupanda Mlima Kilimanjaro.
Safari ya siku tatno kwa ijana hao ikahitimishwa katika kilele cha Uhuru Peak ,kama wanayoonekana ijana hao wakiongozwa na mratibu wa marafiki wa Lowasa Kanda ya Kaskazini ,Noel Nnko(mwenye koti la rangi nyekundu kulia)
Safari ya kurudi kiasi ilikuwa tatizo wakati mwingine baadhi yao walilazimika kupewa msaada kwenye kifaa maalumu cha kushushia wageni waliopata maatizo .Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni