Nigeria inakabiliwa na uhaba wa
mafuta uliodumu kwa zaidi ya mwezi mmoja na kuathiri shughuli za
kiuchumi za nchi hiyo.
Mabenki ya Nigeria yamepunguza muda
wa kufungua, ndege zimehairisha safari na makampuni ya simu
yanatarajia kudhibiti huduma zake.
Uhaba huo wa mafuta unachangiwa na
wauzaji wa jumla kuzuia kuuza mafuta kutokana na kuidai serikali
kiasi cha dola bilioni 1.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni