Vikosi vya Hamas katika ukanda wa
Gaza vimefanya ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, ukiwemo kuteka
watu, kutesa na mauaji raia wa Palestina mnamo mwaka 2014, ripoti
mpya imebainisha.
Ripoti hiyo ya wachunguzi wa Shirika
la Haki za Binadamu la Amnesty International, wengi wa waathirika wa
matendo hayo walituhumiwa kushirikiana na Israeli.
Ripoti hiyo imesema hakuna hata mtu
mmoja aliyefikishwa mbele ya vyombo vya sheria kutokana na ukiukwaji
huo wa haki za binadamu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni