Mabigwa wa Ligi hiyo klabu ya Gor
Mahia na wapinzani wao wa jadi timu ya Leopards wameagizwa kulipa
kiasi cha shilingi za 240,000 na 200, 000 kutokana na kufanya makosa
mbalimbali.
Klabu zingine zilizopigwa faini ni
pamoja na Ingwe na K’Ogalo zilizopigwa faini ya shilingi 60, 000 na
50, 000 kwa kushindwa kuwasilisha orodha ya wachezaji wake kwa
kampuni yenye haki ya kutangaza ligi kuu ya Kenya.
Gor Mahia pia imepigwa faini ya
shilingi 100, 000 ya Kenya kwa kocha wao Frank Nuttal, kushindwa
kufanya mahojiano na watangazaji wakuu wa ligi hiyo.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni