Wadukuzi wa Korea Kaskazini
wanauwezo wa kushambulia miundombinu muhimu ya mawasiliano pamoja na
kuua watu.
Mmoja wa mtoa siri ambaye ametoroka
nchi hiyo Prof. Kim Heung-Kwang ametahadharisha kuwa nchi hiyo
inawadukuzi 6,000 waliopatiwa mafunzo ya kijeshi.
Tahadhari hiyo inafuatia tukio la
mwaka jana la udukuzi katika kampuni ya Sony linalodaiwa kufanywa na
Korea Kaskazini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni