.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 14 Mei 2015

WAHAMIAJI WA MYANMAR WAKWAMA MAJINI KWA WIKI MOJA NA BAADHI KUFA NJAA

Wahamiaji kutoka Myanmar wamekwama wakiwa kwenye boti kwa wiki moja katika bahari ya Andaman wakiwa hawana chakula ama maji ambapo wenzao kumi wamekufa huku wengine wakiishi kwa kunywa haja ndogo.

Boti hiyo ya uvuvi iliyokuwa na wahamiaji hao 350 wa jamii ndogo ya waislamu wa Rohingya, wamekataliwa kuingia nchini Thailand. Miili ya watu waliokufa ilibidi waitupe majini.

Wahamiaji hao wameviambia vyombo vya habari kuwa waliokuwa wanaongoza boti hiyo wamewatelekeza na kuharibu injini. 
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni