Wananchi
wenye hasira wamemuangushia kipigo askari polisi mwanamke anayedaiwa
kuwafyatulia risasi raia wanaoandamana wasio na silaha.
Hapa wamembeba juu kwa juu
Kama haikutosha wakamburuza chini
Polisi huyo mwanamke akizuiliwa asipigwe nyuma ya mwenzake
Hata hivyo mwananchi mwingine akaamua kumpiga na sufuria kichwani





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni