Wananchi wa Ethiopia wanapiga kura
kuchagua bunge jipya, ukiwa ni uchaguzi wa kwanza kufanyika tangu
kufariki dunia kwa waziri mkuu aliyekaa madarakani kwa muda mrefu
Meles Zenewi, mwaka 2012.
Bunge la sasa linambunge mmoja tu wa
kambi ya upinzani, ambapo mrithi wa Zenawi, Hailemariam Desalegn
akitarajiwa kuendelea kubaki madarakani.
Wapinzania pamoja na makundi ya
kutetea haki za binadamu wameishutumu serikali kwa kutishia wapinzani
madai ambayo yamekanushwa na serikali ya Ethiopia.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni