.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 24 Mei 2015

JESHI LA NIGERIA LIMEWAUWA WAPIGANAJI KADHAA WA BOKO HARAM

Jeshi la Nigeria limewauwa wapiganaji kadhaa wa Boko Haram na kuwaokoa wanawake 20 na watoto katika operesheni iliyofanyika kwenye msitu wa Sambisa ambao ndio maficho pekee ya kundi hilo kaskazini-mashariki mwa nchi hiyo.

Taarifa iliyotolewa msemaji wa jeshi Meja Jenerali Chris Olukolade, aimeeleza kuwa mwanajeshi mmoja ameuwawa na bomu la kutega aridhini, wakati wa operesheni hiyo ambapo wengine 10 wamejeruhiwa.

Maelfu ya watu wameuwawa na kundi la Boko Haram katika kipindi cha miaka sita ya harakati zake za mapambano ya kusimika utawala wenye kufuata sheria Kiislam.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni