Mbunge wa Somalia amepigwa risasi na
kufa Mjini Mogadishu katika shambulio linadaiwa kufanywa na
wapiganaji wa al-Shabaab.
Maafisa usalama wamesema kuwa mbunge
huyo Yusuf Dirir aliuwawa baada ya watu wenye silaha kulifyatulia
risasi gari lake.
Aidha, wafanyakazi watatu wa wizara
ya usafirishaji ya Somalia nao wameuwawa jana baada ya gari lao
kushambuliwa kwa risasi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni