Ulaji wa nzige wa jangwani umeelezwa
kuwa unasaidia katika kupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo.
Utafiti uliofanywa na Shirika la
Kimataifa la Wadudu (Icipe) chini ya jitihada mpya za ulaji wa wadudu
umebaini ulaji nzige hao ni mzuri kwa afya ya moyo.
Utafiti huo umefanywa na Icipe kwa
kushirikia na Chuo Kikuu cha Kilimo na teknolojia cha Jomo Kenyatta
pamoja na Idara ya Kilimo na Huduma za Tafiti za Kilimo (USDA/ARS).
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni