Jumanne, 26 Mei 2015
WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijiiandikisha katika kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni iwilayani Mlele Mei 25, 2015. Kushoto ni Mwandikishaji wapiga kura, Auxilia Gaspar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesho kitambulisho chake cha mpiga kura baada ya kujiandikisha katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni i wilayani Mlelele Machi 25,2015. .Kulia ni Mkuu wa mkoa wa katavi, Dkt Ibrahim Msengi na Kushoyo ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Julius Malaba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akichukuliwa maelezo wakati alipojiandikisha katika kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Shule ya Msingii Kakuni katika kijiji cha Kibaoniwilayani Mlele Mei 25, 2015. Kulia ni Mwandikishaji wapiga kura, Happiness Isaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akichukuliwa alama za vidole wakati alipojiandikisha katika kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Shule ya Msingii Kakuni katika kijiji cha Kibaoniwilayani Mlele Mei 25, 2015. Kulia ni Mwandikishaji wapiga kura, Happiness Isaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni