Jumanne, 12 Mei 2015
WAZIRI MKUU MHESHIMIWA MIZNGO PINDA ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MTOTO WA BABA WA TAIFA, MAREHEMU JOHN NYERERE
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mjane wa baba wa Taifa , Mama Maria Nyerere wakati alipotoa heshima za mwisho kwa mtoto wa Baba wa Taifa, marehemu John Nyerere Kushoto ni Makongoro Nyerere na Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Makonda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu John Nyerere, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani, jijini Dar es Salaam leo Mei 11, 2015. Marehemu John anatarajia kuzikwa keshokutwa nyumbani kwao Butiama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni