.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 15 Mei 2015

ZAIDI YA WAHAMIAJI 700 KUTOKA BANGLADESH NA MYANMAR WAOKOLEWA

Zaidi ya wahamiaji haramu 700 kutoka Bangladesh na Myanmar wameokolewa kutoka kwenye boti iliyozama katika Pwani ya Indonesia.

Taarifa zinaeleza kuwa boti jingine limezuiwa kuingia Indonesia na kikosi cha majini cha nchi hiyo.

Hatma ya boti nyingine pamoja na wahamiaji haramu iliyobakia baharini katika pwani ya Thailand haijajulikana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni