.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumanne, 9 Juni 2015
BALOZI MULAMULA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA EU HAPA NCHINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimsikiliza Kiongozi wa Ujumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) hapa nchini, Balozi Filberto Cerian Sebregondi alipofika Wizarani kwa mazungumzo kuhusu ushirikiano kati ya Jumuiya hiyo na Tanzania na pia kujitambulisha kwa Balozi Mulamula ambaye ameteuliwa hivi karibuni kuwa Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje.
Maafisa Mambo ya Nje Waandamizi wakifuatilia mazungumzo kati ya Balozi Mulamula na Balozi Sebregondi (hawapo pichani).
Balozi wa Uingereza hapa nchini Mhe. Diana Melrose kwa pamoja na Balozi wa Ubelgiji hapa nchini, Mhe Adam Koeler na Maaafisa wengine kutoka nchi za EU wakifuatilia mazungumzo kati ya Balozi Mulamula na Balozi Sebregondi.
Balozi Mulamula na Balozi Sebregondi wakimsikiliza Balozi Melrose akifafanua jambo.
Kikao kikiendelea.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni