.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 9 Juni 2015

MTU MWENYE SILAHA AUWA WATU WATANO NCHINI CHINA WAKIWEMO POLISI WAWILI

Watu watano wameuwawa na wengine watano kujeruhiwa katika tukio la shambulizi la kutumia risasi katika mkoa wa kusini mwa China wa Hebei.

Mtu mwenye silaha Liu Shuangrui anayedaiwa kufanya mauaji hayo ameuwawa, ambapo pia imeelezwa miongoni mwa waliouwawa wamo maafisa polisi wawili na watu wengine kujeruhiwa.

Matukio ya mauaji ya kutumia silaha ni nadra kutokea nchini China, kutokana na kuwa na sheria kali za udhibiti wa umiliki wa silaha.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni