Cristiano Ronaldo huenda akajikuta hivi karibuni akikabiliwa na ushindani kutoka kwa mtoto wake wa kiume ambaye anajifua kujijengea uwezo wa kusakata soko.
Cristiano Junior alionekana
akimuonyesha baba yake uwezo wake katika soka wakati wakiwa kwenye
mapumziko katika fukwe za Bahama.
Cristiano Junior akifanya vitu vyake
Ronaldo akiwa ameshika mpira





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni