.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 29 Juni 2015

RIHANNA AMEMFUNGA MDOMO BONDIA TAJIRI FLOYD MAYWEATHER

Nyota wa muziki wa Pop Rihanna amemfunga mdomo bondia tajiri Floyd Mayweather ili kumdhibiti bondia huyo mwenye fedha nyingi asichoge sana alipokuwa amekaa karibu yake katika tuzo za BET.

Rihanna alichukua hatua hizo katika kumzuia mfalme huyo wa ndondi kutobwabwaja sana wakati wa utoaji wa tuzo hizo kwa kumfumba mdomo kwa kutumia plasta pana.
                                                   Rihanna akijiandaa kumdhibiti Mayweather
                                                     Unachonga sana haya sasa ongea tena
   Mayweather akimshanga Rihanna baada ya kumfunga mdomo ambaye anaonekana kuuchuna

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni