Dereva wa mbio za Langalanga Lewis
Hamilton amenaswa akiwa pamoja na rafiki wake wa zamani supamodo
Naomi Campbell, siku ya jana katika moja ya hafla Jijijini London.
Wawili hao walikuwa ni miongoni mwa
wageni waliohudhuria hafla ya kumuenzi Christopher Nement’
iliyofanyika kwenye stoo ya Louis Vuitton, huku wakionekana
wakibadilishana mawazo.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni