.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 11 Juni 2015

ALIYEKUWA MKUU WA USALAMA NCHINI CHINA, ZHOU YONGKANG AFUNGWA JELA MAISHA

Aliyekuwa mkuu wa usalama nchini China, Zhou Yongkang, amehukumiwa kwenda jela kifungo cha maisha.

Shirika la habari la China la Xinhua limesema Zhou ametiwa hatiani kwa makosa ya rushwa, matumizi mabaya ya madaraka, na kutoa siri za maslahi ya taifa kwa makusudi.

Kabla ya kustaafu mwaka 2012 Zhou alikuwa ni miongoni mwa watu wenye nguvu kubwa kimadaraka nchini China.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni