Wafungwa wawili waliovunja gereza
Jijini New York na kutoroka, inaaminika kuwa wamekimbilia Vermont,
wapelelezi wa Marekani wamefika.
Wafungwa hao David Sweat na Richard
Matt walitumia vifaa vyenye nguvu kukata vyuma vya gereza na kisha
kukata bomba kuu na kutumia kutorokea.
Gavana wa jimbo hilo Peter Shumlin
amesema polisi wanaamini kuwa wafungwa hao wanaweza kuwapo Vermont
kutakuwa ni salama kwao huku kukiwa na maafisa wachache
wanaowatafuta.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni