.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 11 Juni 2015

WALINDA AMANI WA UMOJA WA MATAIFA WABADILISHANA BIDHAA NA NGONO

Ripoti ya Umoja wa Mataifa imesema walinda amani wa umoja huo wamekuwa wakibadilishana bidhaa na huduma ya ngono kwa watu ambao chombo hicho kimekuwa kikifanyakazi ya kusaidia wananchi.

Taarifa ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa, inayoangalia huduma zake (OIOS) imebaini kuwa mamia ya wanawake katika nchi za Haiti na Liberia wamelazimika kujiuza miili yao kutokana na njaa na umasikini.

Wanawake hao wamekuwa wakilipwa fedha, vito vya thamani, simu pamoja na bidhaa nyingine na walinda amani wa Umoja wa Mataifa, na kulazimika kufanya nao ngono.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni