Gavana wa zamani wa Florida, Jeb
Bush amezindua rasmi kampeni zake za urais, huku akiahidi kuwa
ataongoza kwa moyo, na kamwe hatuchukulia chochote ama mtu yeyote kwa
wepesi.
Bw. Jeb ambaye ni mtoto wa kiume wa
familia ya Bush ambaye pia ni ndugu wa marais wawili wa zamani wa
familia hiyo ametoa kuali hiyo katika mji wa nyumbani kwao wa Miami,
Florida.
Hata hivyo kura za maoni zinaonyesha
kuwa Jeb Bush bado hajaweza kumudu kuwashinda wagombea wengi wa
chama cha Republican.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni