.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 3 Juni 2015

HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA(TANAPA) KUPITIA UJIRANI MWEMA WAKABIDHI MRADI WA MAJI KATIKA KIJIJI CHA ASHIRA WILAYA YA MOSHI


Mkuu wa mkoa wa Kilimajaro,Leonidas Gamaakikaribishwa na Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA)Erastus Rufungulo katika makabidhiano ya mradi wa maji wa ujirani Mwema uliotolewa na hifadhi za taifa nchni TANAPA.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gamaakikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika tanki la maji la mradi wa ujirani mwema uliotolewa na TANAPA kwa wananchi katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi vijijini.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gamaakisoma kilichoandikwa katika vibao mara baada ya uzinduzi wa mradi huo.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gamakuashiria uzinduzi rasmi wa mradi huo.

RC ,Gama akinywa maji kwa kutumia mkono marabaada ya kufungua bomba la maji katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi vijijini.


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,akimtwisha ndooya maji mmoja wa wakazi wa kijiji cha Ashira katika wilaya ya Moshi ikiwa ni ishara ya kukabidhi mradi huo wa maji ulifadhiliwa na TANAPA kupitia mradi wa ujirani mwema.

Tanki la Maji la mradi wa ujirani mwemauliofadhiliwa na Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA).





Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makungaakizungumza wakati wa makabidhiano ya mradi wa maji uliofadhiliwa na TANAPA kwa ajili ya wananchi wa kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi. Na Dixon Busagaga wa Globu yaJamii,Kanda ya Kaskazini,

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni