.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 14 Juni 2015

HOSPITALI YASITISHA HUDUMA KOREA KUSINI BAADA YA KUBAINIKA NI CHANZO CHA UGONJWA MERS

Hospitali moja nchini Korea Kusini imesitisha huduma zake zote, baada ya kubainia kuwa yenyewe ndio chanzo cha karibu ya nusu ya maambukizi ya ugonjwa unaoshambulia mfumo wa hewa (Mers).

Rais wa Kituo cha Tiba cha Samsung katika Jiji la Seoul, ametoa tarifa ya kuomba radhi kwa umma hii leo kuhusiana na tukio hilo.

Hadi sasa ugongwa huo wa Mers umeshauwa watu 15, huku wengine 145 wakiripotiwa kuugua wakiwepo wagonjwa wasaba wapya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni