.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 16 Juni 2015

RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AWAAGA MADAKTARI TOKA CHINA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Madaktari wa Kichina waliopo Zanzibar waliofika kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wao wa kazi katika Hospitali mbali mbali Unguja na Pemba (wa pili kulia) Balozi Mdogo wa China Nchini Tanzania anyefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie Yunliang.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi Mdogo wa China Nchini Tanzania anyefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie Yunliang wakati akiongoza ujumbe wa Madaktari wa Kichina waliopo Zanzibar waliofika kumuaga Rais (hawapo pichani) baada ya kumaliza muda wao wa kazi katika Hospitali mbali mbali Unguja na Pemba. [Picha na Ikulu]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni