.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 16 Juni 2015

MAKAMU WA RAIS DK.GHARIB BILAL AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MUFTI ALHAJ SHEIKH SHAABAN ISSA BIN SIMBA

Makamu wa Rais,Dk.Mohamed Gharib Bilal akiwasili katika Msikiti wa Kinondoni kwa ajili ya ibada kuswalia mwili wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban Issa Bin Simba iliyofanyika katika Msikiti wa Kinondoni leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waislaam wakiwa katika msikiti wa kinondoni katika ibada ya kuswalia mwili wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban Issa Bin Simba iliyofanyika katika Msikiti wa Kinondoni leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya waombolezaji katika msiba wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban Issa Bin Simba wakiwa katika majonzi katika ofisi ya Makao Makuu ya Bakwata,Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe akimpa pole Mbunge wa Ilala Mussa Azzan Zungu kufuatia na msiba aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban Issa Bin Simba katika msikiti wa Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais,Dk Mohamed Gharib Bilali akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Reginad Mengi katika msiba wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban Issa Bin Simba katika msikiti wa Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais,Dk Mohamed Gharib Bilali akizungumza na waandishi na waamdishi wa habari katika katika msiba wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban Issa Bin Simba leo katika Msikiti wa Konondoni jijini Dar es Salaam.
Sheikh Hemed Jalala a akizungumza na waandishi na waamdishi wa habari katika katika msiba wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban Issa Bin Simba leo katika Msikiti wa Konondoni jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu ,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akisaini kitabu cha wageni katika katika msiba wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban Issa Bin Simba leo katika Msikiti wa Konondoni jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiteta jambo na Mwanasiasa Mkongwe,Kingunge Ngombare Mwiru katika msiba wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban Issa Bin Simba leo katika Msikiti wa Konondoni jijini Dar es Salaam. PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni