Madaktari wa Marekani wamefanya
upasuaji wa kwanza wa mtu kupandikizwa fuvu la kichwani uliyotumia
muda wa saa 15.
Mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji huyo
James Boysen, mkazi wa Texas, alikuwa amepoteza sehemu yote ya juu ya
fuvu la kichwani baada ya kufanyiwa matibabu ya aina isiyoyakawaida
ya saratani.
Wakati wa matibabu yake mgonjwa huyo
wa saratani pia alipandikizwa figo pamoja na kongosho.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni